Ni show ambayo iliandaliwa na Caribbean beat ya CLOUDS FM inayokua On Air kila jumamosi, imefanyika katika viwanja vya Posta Kijitonyama.
.
.
.
.
Ilikua goodtime ya ukweli, tulichek fainali za Uefa kwenye big screens hapo hapo tukila rege! saaafff kabisa
Post your Comment


