Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » FLAVIANA MATATA KUTOA MSAADA KUMBUKUMBU YA MV BUKOBA

FLAVIANA MATATA KUTOA MSAADA KUMBUKUMBU YA MV BUKOBA

Written By mpekuaji on Sunday, May 20, 2012 | 12:26:00 PM


Mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata Amekuja nchini akitokea nchini Marekani ambako ndiko yaliko makazi yake  kwa sasa mahsusi kwa ya ajili ya kugawa msaada wa VIFAA VYA KUOKOLE AMAISHA MAJINI (life vest)  ikiwa ni miaka 16 tangu meli ya MV BUKOBA izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo
anatarajia kugawa msaada wa vifaa hivyo  Jumatatu ya 21 May  jijini mwanza

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts