Mbunge wa jimbo la Kilolo Prof Peter Msolla kulia akimkabidhi mkuu wa shule ya sekondari Maria Consolata Udzungwa Bw Mufwalamagoha Kibasa msaada wa vitabu vilivyotolewa na kampuni ya simu ya Airtel katika jimbo hilo
Prof Msolla akionyesha moja kati ya vitabu vya kiada vilivyotolewa na kampuni ya simu ya Airtel
Mbunge wa jimbo la Kilolo Prof Peter Msolla na mwakilishi wa Airtel mkoa wa Iringa Hildegrad Ntamuturano (kushoto) wakikabidhi msaada wa kompyuta kwa ajili ya shule ya sekondari Mazombe
Post your Comment