Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » MWILI WA MCHEZAJI WA SIMBA MAREHEMU PATRICK MAFISANGO KUZIKWA LEO DRC CONGO

MWILI WA MCHEZAJI WA SIMBA MAREHEMU PATRICK MAFISANGO KUZIKWA LEO DRC CONGO

Written By mpekuaji on Sunday, May 20, 2012 | 12:37:00 PM

 Mwili wa mchezaji wa Simba Marehemu Patrick Mafisango umewasili nchini DRC Congo jana kwa mazishi ambapo leo ndiyo mazishi yanafanyika kama inavyoonekana katika picha ukiwa umewekwa tayari kwa ndugu jamaa na marafiki kuuagwa kabla ya kuuzika nyumbani kwao.
 Ndugu na jamaa wakiwa katika msiba huo huko nchini DRC Congo
Hiki ndicho kibanda kilichojengwa maalum kwa ajili ya kuhifadhi mwili wa marehemu Patrick Mafisango kabla ya kuzikwa leo hii.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts