| Aliyekua msaidizi wa Katibu Mkuu wa UN Mh.Mama Rose Migiro akizungumza machache na Viongozi wa Jumuia ya Watanzania jijini New York katika Hafla maalum iliyoandaliwa na uongozi huu katika Kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kutumikia Umoja wa Mataifa. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York. |
| Mama Asha-Rose Migiro akiwa na Shabani Mseba katibu wa Jumia ya Watanzania New York |
| Kutoka kushoto Mwenyekiti wa Jumuia ya Watanzania New York Haji Hamisi, Balozi Manongi ambaye ni Msaidizi wa Mama Asha Rose, Shabani Mseba ambaye ni Katibu wa jumuia ya Watanzania New York na Mzee Temba mweka hazina wa jumuia ya watanzania New York. |
| Bwana Chiume akiwa na Mama Asha Rose Migiro |
| Ukodak Moment na Mama |
| Mwenyekiti wa Jumuia ya Watanzania New York Haji Hamisi akiwa na Mama Asha-Rose Migiro |
| NY Ebra wa Vijithings akiwa na Mama Asha-Rose Migiro |
| Kijana katika Ofisi hii tunasimama hivi, inaonekana NY Ebra akielekezwa na Mama Migiro |
Post your Comment


