
Kichanga kikiwa kimetupwa katika Dampo hilo la Takataka Soweto Mbeya


Baadhi ya akina Mama na watu wengine waliofika eneo hilo ktazama kichanga hicho ambapo Mama Mzazi hajafahamika. Hata hivyo Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.
Post your Comment


