Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » tiGO Waja na internet Mega Boksi

tiGO Waja na internet Mega Boksi

Written By mpekuaji on Thursday, June 7, 2012 | 6:20:00 PM

Meneja wa Operesheni za huduma za Internet Tigo Bw, Kwame Makundi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao makuu ya Tigo Jijini Dar es Salaam juu ya uzinduzi wa huduma mpya ya tigo inayokwenda kwa jina la 'TIGO INTERNET MEGA BOKSI' ambapo alisema kuwa wateja wa tigo wataweza kujipatia vifurushi vipya vya mtandao vinavyo endana na mahitaji yao. Makundi alisema kuwa Mteja wa Tigo ataweza kununua kifurushi cha siku, wiki, au mwezi  pamoja na kufanya uchaguzi unaoendana na  matumizi mbali mbali ya huduma za kimtandao.alielezea namna ya kupata vifurushi hivyo kuwa ni, kwa kupiga *148*01# ambapo wateja watapata fursa ya kuchagua muda wa  viofurushi wanavyovihitaji kulia ni Alice Maro afisa habari wa Tigo..

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts