
Tumeshuhudia ajali mbaya ya gari.Tairi ilipochomoka gari ilipinduka mara tano.dereva alikuwa na abiria mmoja wamepata majeraha kadhaa ya mwili.Majeruhi hao wamekimbizwa hospitali na Ambulance iliyofika haraka eneo la ajali.
Mdau
Yakubu.
Post your Comment


