Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » NISHA ALINADI PENZI LAKE JIPYA

NISHA ALINADI PENZI LAKE JIPYA

Written By mpekuaji on Wednesday, August 15, 2012 | 10:25:00 AM


SIKU chache baada ya kutangazwa kuwa amemwagana na mpenzi wake Godfrey,  mcheza sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kujinadi kuwa amepata kifaa kipya.

Kupitia akaunti yake ya Facebook, Nisha alibainisha kuwa tayari yupo ndani ya himaya mpya ya mapenzi ingawa pia bado hawezi kuiweka hadharani kwa sababu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.


“Love him to death…Oh God im in loooove. Ah baada ya muda mrefu kuumia..”
ameandika Nisha mtandaoni na kupongezwa na wadau wake.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts