Vyanzo nchini humo vimedai kuwa Koshens ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wasanii maarufu nchini Jamaica ataperformi live jijini Kampala October 5,2012 na baada ya mwezi mmoja Sean Paul anatarajia kurudi tena Kampala kuangusha show.
Show hiyo iliyokuwa ana ulinzi mkali imeshuhudia polisi zaidi ya 2,000 wakisambazwa kulinda usalama kwenye show hiyo.
Sisqo, ametumbuiza na msanii wa Ghana Fuse ODG wa Azonto Dance.
Wasanii wa Uganda waliosindikiza show hiyo ni pamoja na Jose Chameleone, Bobi Wine na Jackie Chandiru.
Wiki moja tu iliyopita wajamaica wengine Demarco na Wayne Wonder walikuwa nchini humo kutumbuiza.
Post your Comment


