STAA wa Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa anawachukia sana wasanii wa muziki wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wanaharibu tasnia nzima ya muziki nchini.
Akichonga na Mpekuzi, Chaz alisema wasanii hao wanabebwa kwa aina ya muziki wanaoimba tofauti na wale wa dansi ambao wanajua nini maana ya muziki na wanaimba ‘live’ bila kutumia CD kama wafanyavyo Bongo Fleva.
Post your Comment



