Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , » "JAPOKUWA MIMBA YANGU IMETOKA,LAKINI NI LAZIMA NIZAE NA BUSHOKE".......JINI KABULA

"JAPOKUWA MIMBA YANGU IMETOKA,LAKINI NI LAZIMA NIZAE NA BUSHOKE".......JINI KABULA

Written By mpekuaji on Wednesday, September 26, 2012 | 1:30:00 PM

MWIGIZAJI machachari Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya ujauzito wa awali kuharibika, bado ana nia ya kuzaa na mpenzi wake Rutta Maximilian Bushoke aliye mwanamuziki wa Bongo Fleva.

Akipiga stori na mpekuzi jijini Dar es Salaam,  Jini Kabula alisema bado ana hamu ya kuzaa na mpenzi wake huyo.


“Haikuwa riziki, ilikuwa bahati mbaya, dhumuni langu lilikuwa ni kuzaa na Bushoke kwa sababu nampenda, hivyo Mungu akinijalia tena, nitazaa naye tu. Natamani sana niwe mama wa mtoto wake,”
alisema Jini Kabula.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts