Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » RICK ROSS NDO MSANII ATAKAYE PERFORM KATIKA FIESTA YA DAR ES SALAAM

RICK ROSS NDO MSANII ATAKAYE PERFORM KATIKA FIESTA YA DAR ES SALAAM

Written By mpekuaji on Thursday, September 27, 2012 | 6:43:00 PM



Rick Ross

It’s confirmed kuwa the big boss wa Maybach Music Group, Rick Ross ndiye atakayetua kwenye Fiesta ya Dar es Salaam.

Taarifa hizo zimetolewa live muda mfupi uliopita kupitia Clouds FM. Rick Ross atatua Bongo kwaajili ya show hiyo itakayofanyika October 6. 

Tayari rapper huyo amesharekodi sauti yake inayosema kuwa tayari ni official kuwa atatua Tanzania kwaajili ya show hiyo kubwa ya mwaka.

Hivi karibuni Rick Rosss alikuwa nchini Nigeria hivyo tayari ni mwenyeji wa bara la Africa.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts