Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » BONGO MOVIE WAJISIFU KWA KUTOA MIMBA

BONGO MOVIE WAJISIFU KWA KUTOA MIMBA

Written By mpekuaji on Friday, October 19, 2012 | 9:52:00 AM


UTOAJI wa mimba kwa wasanii wa bongo movie sasa ni kama mtindo fasheni kwani usipofanya hivyo unaweza kuonekana mshamba wa mji.....

Msanii wa tasnia hiyo, Mainda, ametoa ushahidi wake kuwa aliwahi kumshudia mmoja wa mastaa wa tasnia hiyo akitoa mimba tena nyumbani kwake.......

Msanii huyo ameieleza Gumzo
kuwa wapo wasanii wengi wa tasnia hiyo ambao wanapata mimba lakini  walio wengi wanazitoa.

HABARI KAMILI <<  BOFYA  HAPA>>>>

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts