Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » REDD'S MISS TANZANIA 2012 WATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI

REDD'S MISS TANZANIA 2012 WATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI

Written By mpekuaji on Thursday, October 18, 2012 | 8:06:00 PM


Washiriki wa Shindano la Redds Miss Tanzania 2012, wamekamilisha rasmi ziara yao ya kujionea vivutio vya utalii kwa vitendo Kutembelea Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Arusha, Manyara, Moshi na Tanga.

Warembo hao wakiwa katika mapango hayo ya kale ya Amboni Tanga waliweza kujionea vitu mbalimbali ambavyo ni vya kipekee na vyakuvutia vilivyopo katika mapango hayo ya asili ya zama za kale.

Miongoni mwa vitu vilivyopo huko kwenye mapango hayo ni sanamu za aina mbalimbali za Bikira Maria, Maandiko ya Quran, Daraja, sanamu za jinsia ya kike na kiume, chui, na vitu vingine mbalimbali vya kuvutia.

Angalia picha za ziara hiyo ya Mapango ya Amboni.
1424578

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts