Wasanii wa Injili hapa nchini wamekuwa wakimkosoa Rose Muhando kutokana na staili ya nyimbo zake na uchezaji wake.....
Wasanii hao wamekuwa wakidai kuwa Rose Muhando amekuwa akicheza mno na kukata mauno sana hali ambayo wanadhani kuwa hafikishi ujumbe katika hali inayotakiwa
Pamoja na shutuma hizo, Wasanii hao wanadai kuwa Rose amekuwa akifikisha ujumbe mkali sana kwa jamii bila kujali mapokeo yake.......
Lawama hizo zimemfanya producer wa Rose muhando afunguke na kudai kuwa yeye binafsi haoni kama kucheza sana ni tatizo na kuongeza kuwa mwimbaji yeyote anajukumu la kuionya na kuielimisha jamii kama afanyavyo Rose Muhano.....
"Rose mhando hana kosa lolote.kama anacheza sana basi mwacheni maana hiyo ndo stail ya nyimbo zake'producer
Post your Comment



