Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , , » TUNDAMAN APATA SHAVU LA KUSIMAMIA KAZI ZOTE ZA CHID BENZ

TUNDAMAN APATA SHAVU LA KUSIMAMIA KAZI ZOTE ZA CHID BENZ

Written By mpekuaji on Sunday, October 21, 2012 | 1:06:00 PM



Kupitia blog yake, muimbaji Khalid Ramadhan Tunda aka Tundaman ametangaza kuwa yeye ndiye msimamizi rasmi wa kazi za rapper Chidi Benzi kwa sasa.

“Kuanzia sasa mimindie nitakua msimamizi wa kazi za msanii Chidi Benz,na nimejipanga kumrudisha chidi kama zamani katika game, na kwa sasa tumegonga ngoma mbili kali sana ambazo zimefanyika AM Rec,kwa mdundo wa Manecky,kaeni tayari kupokea kazi nzuri.”

Unaamini Tundaman anaweza kumrudisha Chidi kwenye game? tupe maoni yako

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts