Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » "UBUNGE NI KAZI YA KIBWEGE..." AFANDE SELE KATIKA XXL JANA

"UBUNGE NI KAZI YA KIBWEGE..." AFANDE SELE KATIKA XXL JANA

Written By mpekuaji on Friday, November 30, 2012 | 12:05:00 PM


AFANDE  SELE.....



"Ubunge ni kazi ya 'kibwege' watu wamekuchagua ili uwatumikia kwa hiyo unatakiwa kuwa mtumwa wa watu wako kwa kuwa karibu na kufanya kile wanachokihitajiwao na siyo kukalia kiti hicho kwa niaba yako na ndugu zako, inanishangaza sana mtu anachaguliwa ndani ya miaka miwili tayari anamiliki Vogue sasa huu ka siyo wizi ni nini" Afande Sele

Bofya Play kusikiliza zaidi hapo  juu.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts