Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , » RAY AJIPANGA KUTOKA NA "WAVES OF SORROW"....

RAY AJIPANGA KUTOKA NA "WAVES OF SORROW"....

Written By mpekuaji on Thursday, December 6, 2012 | 11:12:00 PM


Msanii wa Bongo Movie almaarufu kama VICENT KIGOSI a.k.a Ray, baada ya kutamba na filamu kadhaa nzuri kama Sister Mary na nyingine kali  sasa  ameamua kuja  na kitu kipya.

Leo latest info mpya nyingine ambayo tumeipata kutoka kwa msanii huyu ni kwamba anatarajia kuachia filamu yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la Wave of Sorrow.


Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Bongo Movie kaa tayari kwa ujio mwingine kutoka kwa VICENT KIGOSI.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts