Msanii wa Bongo movie maarufu kama Dr Cheni baada ya mwaka jana kufanya vizuri katika industries ya filamu,sasa mwaka huu amejipanga upya.
Dr Cheni sasa yuko katika hatua ya kuachia movie yake mpya inayokwenda kwa jina la “Hukumu Yangu”.Wasani mahiri walioshiriki katika movie ni Mzee Onyango na wasanii wengineo.
Post your Comment