Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » HUYO NDO MGOMBEA URAIS ALIYEJICHORA " TATOO" MWILI MZIMA...

HUYO NDO MGOMBEA URAIS ALIYEJICHORA " TATOO" MWILI MZIMA...

Written By mpekuaji on Wednesday, January 16, 2013 | 11:24:00 AM



Vladimir Franz ni mmoja kati ya wagombea tisa wa kiti cha Urais Jamhuri ya Czech ambaye asilimia 90 ya mwili wake umechorwa 'tattoo'.

 Pamoja na hilo kura za maoni zimempa 11.4% ya kura zote ambapo amekua ni mgombea wa tatu kati ya wagombea hao 9. Franz mwenye umri wa miaka 53 ana shahada ya sheria, ni profesa wa fani ya maigizo pia ni mchoraji.

Franz alisema kuwa 'tattoo' ni jambo lake binafsi, halina uhusiano na kugombea kiti cha Urais. Pia ushindani wa kiti cha Urais siyo shindano la urembo.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts