Jana Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner G Habash walianza safari yao ya kuupanda mlima Kilimanjaro kwa kupitia njia ya Marangu.Safari hiyo ya siku sita inaongozwa na kampuni ‘Kilidove Tours and Safaris Ltd’ ya Arusha.
Wengine wanaoongozana nao ni mpiga picha wake Justin Bayo.
Post your Comment



