Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Maneno ya Wema Sepetu Kuhusu Tuzo ya BET Anayowania Diamond Platnumz

Maneno ya Wema Sepetu Kuhusu Tuzo ya BET Anayowania Diamond Platnumz

Written By Vuvuzela on Saturday, May 28, 2016 | 7:56:00 AM



Mwigizaji wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Diamond Platnumz, Wema Sepetu ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya Watanzania wengine wanaomsupport mwimbaji huyo ambaye ni Mtanzania pekee anaewania tuzo ya kituo cha TV cha Marekani BET.

Wema Sepetu amepost kwenye page yake ya Instagram na kusahau yaliyopita na kusisitiza uzalendo kwanza  ‘Uzalendo ndio unaotakiwa, Tanzania kwanza vingine baadae ama nene? vote vote vote’
 



Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts