Mwigizaji huyo ni miongoni mwa wasanii wa filamu mwenye mvuto kutoka na kujiremba kwake pamoja uvaaji.
Akiongea nasi hivi karibuni, Hemed aliulizwa kuhusu kutoka kimapenzi na wasanii wa filamu.“Ngoja niseme hili sijawahi kuwa kwenye mahusiano na Mastaa, ila kuwachapa ni wengi sana” Alisema.
Katika hatua nyingine, Hemed alisema hapendi kufanya filamu ila pesa ndio inamfanya kuwa mwigizaji.
Post your Comment



