Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Kamanda Sirro: Bado Tunamtafuta Sana Askofu Gwajima, Tumetumia Polisi wa Kimataifa ila Bado, Wananchi Tusaidieni

Kamanda Sirro: Bado Tunamtafuta Sana Askofu Gwajima, Tumetumia Polisi wa Kimataifa ila Bado, Wananchi Tusaidieni

Written By Vuvuzela on Tuesday, June 28, 2016 | 11:20:00 AM


Kamanda wa polisi jiji la Dar Simon Sirro amesema bado wanamtafuta sana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima na wametumia mtandao wa polisi wa kimataifa Interpol lakini bado hawajapata majibu.

Amesema walipokea barua kutoka kwa wakii wake lakini wao hawafanyi kazi kwa taarifa hizo, amewataka waandishi wa habari na wananchi wasaidie kupatikana kwake..

 

Tazama Video:

 
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts