Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa ndani ya moja ya mabasi ya mradi wa mabasi ya mwendo kasi ya
UDA-RT jijini Dar es salaam ambayo kwa kiasi kikubwa yamerahisisha
usafiri na kutaka wananchi kuyatunza mabasi hayo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza wakati wa shughuli ya kukabidhi Futari na Chakula kwa watu
wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akishiriki dua maalumu wakati wa shughuli ya kukabidhi Futari na Chakula
kwa watu wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani jijini
Dar es Salaam.Kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiongoza
dua hiyo Mussa Salum .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimkabidhi Futari Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Baraza la
Waislam mkoa wa Dar es Salaam Bibi Pili Abdala Mwale wakati wa shughuli
hiyo maalum ya kukabidhi furati na chakula kwa watu wenye mahitaji
maalum, Jangwani jijini Dar es salaam.( Picna na OMR)
Post your Comment