Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » UKAWA wazidi kugoma..leo wametoka bila mbwembwe kama za jana

UKAWA wazidi kugoma..leo wametoka bila mbwembwe kama za jana

Written By Vuvuzela on Tuesday, June 21, 2016 | 5:31:00 PM

 
Wabunge wa Ukawa wameendelea kususia vikao vinavyoongozwa na Dk Tulia Ackson, lakini leo wametoka kimyakimya bila mbwembwe kama za jana.

Kwa sasa kamati ya uongozi ya umoja huo imeingia kufanya kikao kujadili mustakabali wao.

Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema watatoa taarifa kamili baada ya kumaliza kikao hicho.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts