Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, atateuliwa Septemba 2.Tarehe hiyo imetangazwa Jumatatu hii na kamati maalum inayosimamia
upatikanaji wa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo baada ya David Cameron
kutangaza kujiuzulu wiki iliyopita.
“We recommend that the process of electing a new leader of the
Conservative Party should commence next week … and conclude no later
than Friday the second of September,” alisema Graham Brady, mwenyekiti
wa kamati hiyo.
Cameron alitangaza kustaafu baada ya Uingereza kuamua kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya, EU.
Post your Comment



