Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Zitto Kabwe Apotea...ACT-Wazalendo Walalamikia Jeshi la POLISI

Zitto Kabwe Apotea...ACT-Wazalendo Walalamikia Jeshi la POLISI

Written By Vuvuzela on Monday, June 13, 2016 | 6:20:00 AM


TAARIFA KWA UMMA
Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku.

Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu. 

Sisi kama chama tunaliambia jeshi la Polisi kuwa lolote litakalotokea kwa Kiongozi wetu wao watajibu kwa umma.
 
Msafiri Mtemelwa,
Kaimu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts