MWANAMUZIKI wa
Hip Hop, Lil Wayne, amejikuta akiingia matatani baada ya kuburuzwa
mahakamani na Kampuni ya American Express kwa kosa la kutolipa kodi kwa
muda wa miezi sita sasa.
Kampuni hiyo imemfikisha Wayne
mahakamani Alhamisi iliyopita ikimtaka alipe pesa anazodaiwa Dola za
Marekani 86,396 (Sh mil 185) pamoja na fidia ya ucheleweshwaji wa malipo
hayo.
Bado Wayne hajasema lolote kuhusiana na shutuma hizo. Wayne amekuwa na kesi nyingi za aina hii karibu kila mwaka.
Post your Comment