Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Hamisa Mabeto Ampongeza Mzazi Mwenzake katika siku yake ya kuzaliwa kwa kupost Ujumbe mzito Instagram

Hamisa Mabeto Ampongeza Mzazi Mwenzake katika siku yake ya kuzaliwa kwa kupost Ujumbe mzito Instagram

Written By Vuvuzela on Saturday, September 10, 2016 | 9:24:00 AM

Hakuna tena bifu kati ya Lulu na Hamisa Mobetto – angalau kwa kile Hamisa amekiandika kumpongeza mzazi mwenzake.

Hamisa amezaa na CEO huyo wa EFM mwenye uhusiano na Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuna wakati warembo hao walidaiwa kurushiana vijembe.


Majay anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na Hamisa amepost picha ya DJ huyo mkongwe akiwa na Lulu na kuandika:

Happiest birthday To BaBa Squad (Baba caesar, Baba Fantasy& Baba G ..akija in Shaa Allah). Thank You for being baba bora wa mtoto wangu that am sure any woman could ask for katika hii dunia .

Thank You for taking good care of me & wanetu Katika Siku yako hii i wanna wish you all the best kwa hii dunia M/Mungu akufungulie milango yote yenye kheri na Baraka teley.. in shaa Allah ………… Happy birthday best friend Happy birthday mchizi wangu Happy birthday baba Watoto❣ @majizzo

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts