Ni Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa nyimbo za singeli, Man Fongo.
"Kwanza
kama utakuwa umesoma SMS yangu niliyomtumia nilimwambia kwamba Amani
nakuheshimu sana hasa baba yako ambae mpaka sasa namuheshimu ila matusi
ambayo umeanza kunitukana huko ulipo nimeyapata sasa endelea,Sasa
mimi ndio wakumshtaki maana amenisema vibaya huko walipokuwa na watu
wake ziarani nimeumia sana mimi kama mzazi, Manfongo bado mtoto mdogo
sana kwangu na mimi",alisema Mama Wema.
‘Kwa upande wa Man Fongo alisema…"Wamemtumia
meseji mama yake na Wema kwamba ninaisema familia yake wakati mimi
Manfongo muhuni na muhuni siku zote hatuna muda wa kumzungumzia mtu,
riziki yangu naisaka tangu nipo kitaani sina muda wa kujibishana na watu
sasa Mama Wema ananitumia meseji za matusi"
Tazama hii video Mama Wema Sepetu akieleza tofauti yake na Man Fongo.
Post your Comment



