Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Zari asherehekea Birthday yake visiwani Zanzibar

Zari asherehekea Birthday yake visiwani Zanzibar

Written By Vuvuzela on Saturday, September 24, 2016 | 1:36:00 PM

Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu wao wa karibu.
Sherehe hiyo ilihudhuriwa Mose Iyobo, Aunty Ezekiel, na watu wengine wa karibu wa familia hiyo. Kwenye sherehe hiyo pia waliongozana na mtoto wao Princes Tiffah.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya