Hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa muziki, Diamond Platnumz
ikiwa ni wiki moja toka atoke visiwani Zanzibar kusherekea birthday ya
mama watoto wake, Zari.
Muimbaji huyo alikata keki mbele ya wasanii wake wa WCB huku akiwaacha
midomo wazi mashabiki wake wa kwenye mitandao jamii kwa kitendo cha
kusherekea birthday hiyo huku akiwa na nguo ya ndani ‘boxer’ akidai
alikuwa anaogopa kumwagiwa maji.
Pia mastaa mbalimbali walimtumia salamu za heri na baraka staa huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Salome’.
Rich Mavoko
Happy Birthday Big Nna Zawadi Yako Ya Gari Lakini La Udongo So Wambie Hao Wanaokumwagia Maji Nikilileta Waache Kwanza

Harmonize
Happy birthday my brother #simbaa nikisema niandike mengi sitomaliza ila unajuwa vyenye nakuzimia na na kukuheshimu…. maisha marefu furahiya siku yako

Rayvanny
Jus me and birthday boy @diamondplatnumz Bigie Mungu Akupe Maisha Marefu ndugu yangu maana ukinasa hatunasuliki mwiiiiiiiiingiiiiiiiii wa materials enjoy your day

Post your Comment