Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » ASYA IDAROUS KHAMSIN AFANYA VITU VYAKE, North Carolina

ASYA IDAROUS KHAMSIN AFANYA VITU VYAKE, North Carolina

Written By mpekuaji on Tuesday, May 15, 2012 | 8:58:00 AM

 Watanzania wa North Caroliana wakinunua vitu mbali mbali kutoka kwa mwanamitindo wa kimataifa aliyebobea, Asya Idarous Khamsin alipokua North Carolina kwenye mwaliko maalum kutoka kwenye jumuiya ya Watanzania wa kuko kwenye sherehe za kuadhimisha siku maalum ya kina mama Duniani iliyfanyikia Durham, North Carolina siku ya Jumamosi May 12, 2012.
 Model akipita mbele ya Watanzania wa North Carolina waliojumuika katika kuadhimisha siku ya kina mama Duniani huku akiwa amevaa mavazi kutoka kwa mbunifu gwiji la mitindo, Asya Idarous Khamsin.
Model akipita mbele huku akishangiliwa kwa nguvu zote kwenye siku hii maalum kuadhimisha siku ya kina mama Duniani iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania, NC na Asya Idarous Khamsin kualikwa kama mgeni maalum na kuonyesha Vivazi vyake.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts