Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » BALOZI BURIAN AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO SHIRIKA LA MAKAZI DUNIANI

BALOZI BURIAN AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO SHIRIKA LA MAKAZI DUNIANI

Written By mpekuaji on Tuesday, May 15, 2012 | 5:55:00 PM

Balozi wa Tanzania nchini Kenya na Mwakilishi wa Kidumu wa kwenye Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN-HABITAT NA UNEP), Dk. Batilda Burian (kulia) akiwasilisha hati za utambulisho kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Makazi Duniani, Dk. Joan Clos kwenye ofisi za shirika hilo jijini Nairobi leo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts