Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Bia ya Kilimanjaro yakutana na Wahariri wa Michezo kuzungumzia uzinduzi wa kampeni mpya ya 100% Tanzania Flava jijini Dar leo

Bia ya Kilimanjaro yakutana na Wahariri wa Michezo kuzungumzia uzinduzi wa kampeni mpya ya 100% Tanzania Flava jijini Dar leo

Written By mpekuaji on Thursday, May 24, 2012 | 10:41:00 AM

 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akizungumza na Wahariri wa Habari za Michezo (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es Salaam asubuhi hii wakati wa semina ya siku moja ya inayohusu uzinduzi wa kampeni mpya ya Bia hiyo ifahamikayo kama 100% Tanzania Flava.
Meneja wa Habari wa Kampuni ya Executive Solutions ambao ndio waandaaji wa Semina ya Wahariri wa Habari za Michezo,Mike Mukunza akizungumza na Wahariri hao asubuni hii.
 Mhariri wa Habari za Michezo wa Gazeti la Champion,Saleh Ali akichangia mada katika Semina hiyo.
Mhariri wa Habari za Michezo wa Radio One,Maulid Kitenge akichangia mada katika Semina hiyo.
 Baadhi ya Wahariri wa Habari za Michezo wakiwa kwenye Semina hiyo asubuhi hii.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts