
DONNA SUMMERS
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Disco,Donna Summers,amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 63.
Kwa mujibu wa TMZ.com, Donna Summers ambaye aliwahi kutamba sana na vibao kama vile Love To Love You Baby,Hot Stuff na Last Dance, mauti imemkuta akiwa huko Florida ingawa taarifa hiyo haijaweka wazi kitu hasa kilichosababisha kifo chake.
Post your Comment


