Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » TFDA yatoa zawadi kwa vituo viwili vya kulelea watoto Yatima

TFDA yatoa zawadi kwa vituo viwili vya kulelea watoto Yatima

Written By mpekuaji on Friday, June 8, 2012 | 6:35:00 PM

Afisa Uhusiano Wa TFDA alikabidhi zawadi kwa niaba ya Mamlaka Hiyo katika kituo  cha guardian Angel.
Pichani ni baadhi ya zawadi zilizotolewa katika vituo vya watoto yatima vya Kijiji cha furaha cha mbweni na kituo cha Guardian Angel cha Mbezi juu,jijini  Dar  es Salaam. Zawadi Hiyo zimetolewa Kama mwendelezo wa utaratibu uliowekwa wa kuchangia  watumishi pamoja na uongozi wa  Mamlaka wa  kukumbuka Jamii iinayoizunguka TFDA. Jumla ya thamani ya zawadi zote ni Tsh. 4100,000.
Hapa ni mwakilishi wa Kijiji cha furana akipokea zawadi. Kituoni hiki kina watoto wapatao 110 ambao hutunzwa hap a. Bi. Gaudensia Simwanza alikabidhi zawadi kwa kituoni honcho.
Mlezi wa kituoni akiwa na baadhi ya watoto baada  ya kupokea zawadi katika Kijiji cha furaha Mbweni

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts