Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » Serengeti Fiesta 2012 yaanza kwa kishindo mjini Moshi

Serengeti Fiesta 2012 yaanza kwa kishindo mjini Moshi

Written By mpekuaji on Sunday, August 26, 2012 | 7:22:00 PM

Wasanii machachari Bongo Move Wema Sepetu (kushoto) na Aunt Ezekiel wakicheza muziki wa bongo Fleva uliokuwa ukishushwa na Msanii wa Bongofleva,Ferooz katika uzinduzi wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 Bhaaaaass! katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi usiku huu. Tamasha hilo limebamba ile mbaya.


Ferooz akiwa na mmoja wa mashabiki wake wakilishambulia jukwaa vilivyo.
  
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya na mmoja wa shiriki wa shindano la Big Brother Stargame,CMB Prezoo akitumbuiza jukwaani usiku huu kwenye uzinduzi wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 ndani ya uwanja wa chuo cha ushirika mjini Moshi.
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts