Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » DIAMOND KATUA MWANZA KUZINDUA MAGIC FM LEO

DIAMOND KATUA MWANZA KUZINDUA MAGIC FM LEO

Written By mpekuaji on Friday, June 8, 2012 | 6:44:00 PM

Diamond Platnum akiwa na densaz' wake hapa akizungumza na waandishi wa habari Mwanza mara baada ya kutua jijini humo kwa ajili ya kuwa sehemu ya burudani ya uzinduzi wa Radio Magic Fm Mwanza leo usiku ndani ya Villa Park.
"Mara baada ya kuipeperusha vyema bendera ta Tanzania ndani ya Big Brother Africa sasa niko Mwanza inshort nimepania kufanya kitu classic" asema.
Time to show love: Kutoka kushoto ni Producer Man Water aka Man Maji, G. Sengo, Muslim na Olest Kawau.

Crew.
Jikoni at Villa Park Mwanza kumepambwa na ma fish na minyamanyama namuna hii.
Wengine wakisubiri oda zao wengine saa mingi wako sahanini.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts