Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , » Diwani Aliyetishia Kumuua Mbunge Atoka Kwa Dhamana Leo

Diwani Aliyetishia Kumuua Mbunge Atoka Kwa Dhamana Leo

Written By mpekuaji on Thursday, May 17, 2012 | 8:22:00 PM

Diwani wa Kata ya Nduli-Iringa ndugu Idd Chonanga ametolewa rumande leo kwa  dhaman baada ya jana wadhamini kushindwa kutimiza masharti ya dhamana, diwani huyo anayeshtakiwa kwa kosa la kuwatishia kuwaua kwa maneno  Mbunge wa Iringa Mch.Peter Msigwa(Chadema), na diwani wa kata ya mivinjeni(Chadema) Ndg Fredrick Nyalusi, 

Wadhamini wawili mapema leo mahakamani wametimiza masharti ya dhamana ikiwa Pamoja na kuwasilisha vielelezo vyote vinavyotakiwa pamoja na mali isiyohamishika yenye thamani ya Milion 5.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts