Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » HUYU NI X-GIRLFRIEND WA BOW WOW, WAMEUNGANA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YA HUYU MTOTO WAO

HUYU NI X-GIRLFRIEND WA BOW WOW, WAMEUNGANA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YA HUYU MTOTO WAO

Written By mpekuaji on Saturday, May 5, 2012 | 9:34:00 AM

X Girlfriend wa Bow wow (Joie) wa pili kutoka kulia akiwa na rafiki zake.
Rapper Bow wow pamoja na mpenzi wake wa zamani wameungana kusherehekea birthday ya mtoto wao aitwae Shai ambae ametimiza mwaka mmoja ambapo marafiki na familia zilihusika kwenye hiyo party.

Mwaka mmoja uliopita baada ya Bow wow kuandika barua ya wazi kukubali kwamba kweli yeye ni baba wa huyo mtoto, siku kadhaa baadae stori zilienea kwenye internet kwamba X girlfriend wake amekataa kuliweka jina la Bow wow kwenye cheti cha kuzaliwa cha Shai kwa sababu kuna vitu vibaya Bow wow alivifanya kwa Joie wakati mtoto anazaliwa.

Sasa hivi inaaminika wamepatana ili kuwa karibu zaidi na mtoto wao pamoja na kumuhudumia.
.
.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts