Get the latest updates from us for free

mas template
Home » , , » JK NA MAMA SALMA WASALIMIANA NA DAVID BECKHAM

JK NA MAMA SALMA WASALIMIANA NA DAVID BECKHAM

Written By mpekuaji on Thursday, May 17, 2012 | 5:47:00 AM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakisalimiana na mchezaji soka nyota wa Uingereza anayechezea Los angeles Galaxy ya Marekani,   David Beckham,  walipokutana uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London Jumatano, muda mfupi kabla ya Rais Kikwete na Mama Salma kuelekea Washington DC kuhudhuria mkutano wa G8 kwa mwaliko wa Rais Barak Obama wa Marekani. 
 
Bekham ameonesha nia ya kutembelea Tanzania kama mtalii siku za karibuni na Rais Kikwete amemkaribisha kwa mikono miwili, akimhakikishia kwamba licha ya kuwa na mashabiki wengi ambao watafurahi kumuona pia atafurahia vivutio kibao vya kitalii.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts