Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » PAMBANO LA NDONDI LAIVU MITAA YA BUKOBA

PAMBANO LA NDONDI LAIVU MITAA YA BUKOBA

Written By mpekuaji on Monday, May 14, 2012 | 6:33:00 PM

Kabla sijajua kisa cha valangati hili kwanza ni kucheza na Camera...
Mdau akitembezewa kichapo chenye mchanganyiko wa Matusi
Ni bonge la featuring
Kisa ni kwamba kijana mmoja "mtanashati" aliyejichanganya mtaa wa Wamachinga waliopo barabara ya Government mkabala na msikiti wa Jamia.
Alionekana akitokea Nyuma ya Vibanda vya machinga hao,ndipo machale yalipowacheza na ikatokea hali ya sintofahamu na kuanza kumhoji ni wapi anatokea na baada ya kijana huyo kukosa jibu sahihi ndipo akatembezewa kichapo kikali kutoka kwa Machinga hao.
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts