Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » picha: Mbunge wa Iringa Mjini Mch. Msigwa alipovamiwa Mkutanoni jana

picha: Mbunge wa Iringa Mjini Mch. Msigwa alipovamiwa Mkutanoni jana

Written By mpekuaji on Monday, May 14, 2012 | 6:46:00 PM

Jana wakati Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) alihutubia mkutanoni huko Nduli, vijana wanaodaiwa ni watoto wa Diwani wa eneo lile walivamia mkutano huo na kuanzisha vurugu wakitaka kumvamia Mh. Msigwa.

Vurugu hiyo ilisababisha vijana wawili wa CHADEMA kukatwa mapanga, mmoja kujeruhiwa mkononi na mwingine usoni.

Vijana hao waliokuwa wamekusudia kumdhulu mh. msigwa walikamatwa na kushikiliwa na Polisi.
Akiwahutubia wananchi kijiji cha nduli kilichopo manispaa ya iringa.



Sehemu ya umati wa wananchi.

Akimtambulisha mtu aliyekua mwenyekiti wa ccm katika eneo hilo alie jiungana chadema akiwa na wanachama wengine zaidi ya 100 wakimfuata.


wakati akimalizia mkutano, vijana wanao daiwa kuwa ni watoto wa diwani wa eneo lile walivamia mkutano nakuanzisha vurugu wakitaka kumvamia Mh. msigwa. nakusababisha vurugu iliyo peleke kukatwa mapanga kwa vijana wa wili wa chadema, mmoja kukatwa mkono na mwingine kujeruhiwa vibaya usoni. vijana hao walio kua wamekusudia kumdhulu mh. msigwa
kijana wa chadema alie katwa mkono na vijana wa ccm ambao wanasemekana kuwa ni watoto wa diwani ccm wa eneo hilo. 

vijana hao walio leta vurugu katika mkutano kwea sasa wanashikiliwa na polisi.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts