Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » IRENE FRANCIS WA CITI BANK ADHIIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA

IRENE FRANCIS WA CITI BANK ADHIIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Written By mpekuaji on Monday, May 14, 2012 | 6:49:00 PM

 Mfanyakazi wa Citi Bank, Irene Francis akisaidiwa na mtoto kukata keki wakati wa muadhimiasha siku ya yake ya kuzaliwa jana wakati wa wakati wa tamasha la kufunga ligi kuu ya England na kuzindua kampeni ya kumsaka shabiki bora wa mwaka atakayewakilisha nchi kushangilia mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) yanayotarajiwa kufanyika Afrika Kusini mwakani. Tamasha hilo lililoandaliwa na bia ya Castle Lager lilifanyika ufukwe wa Mbaramwezi, Msasani, Dar es Salaam
Irene akimlisha keki mwanawe
Irene akimlisha keki mmowa wa watu wake wa karibu

Irene akiwalisha keki marafiki zake

Irene (katikati) akicheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa na Bendi ya Bora Bora

Bendi ya Bora Bora ikifanya vitu vyake

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts