Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » TAMASHA LA CASTAL LAGER LA KUSAKA SHABIKI BORA WA LIGI YA ENGLAND LAFANA DAR

TAMASHA LA CASTAL LAGER LA KUSAKA SHABIKI BORA WA LIGI YA ENGLAND LAFANA DAR

Written By mpekuaji on Monday, May 14, 2012 | 7:36:00 PM

 Wachezaji wa timu ya Castle Lager Facebook FC, wakishangilia ubingwa katika michuano ya soka ya ufukweni wakati wa tamasha la kufunga ligi kuu ya England na kuzindua kampeni ya kumsaka shabiki bora wa mwaka atakayewakilisha nchi kushangilia mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) yanayotarajiwa kufanyika Afrika Kusini mwakani. Tamasha hilo lililoandaliwa na bia ya Castle Lager lilifanyika ufukwe wa Mbaramwezi, Msasani, Dar es Salaam jana.Picha zote na Kamanda Mwaikenda
Warembo wa Castle Lager wakishangilia wakati wa tamasha hilo

Meneja wa Bia ya Castle Lager, Kabula Nshimo akielezea umuhimu wa tamasha hilo

Mlinda mlango wa timu ya Castal Lager, akiokoa moja ya hatari iliyoelekezwa na Lamu FC
                                    Wachezaji wa Castal Lager Fasebook FC, wakishangiia

Wachezaji wa timu ya Tigo akiangalia  mechi ya Lamu FC na  Facebook FC

 Warembo wa Castal Lger, Rachel Lawrence na Queen Ndunguru wakipuliza vuvuzera
Mashabiki wakiangalia mechi za mwisho za Ligi ya England

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts