Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » POMBE NA BANGI ZAMTESA RIHANNA...HIVI SASA KALAZWA HOSPITALI

POMBE NA BANGI ZAMTESA RIHANNA...HIVI SASA KALAZWA HOSPITALI

Written By mpekuaji on Monday, May 14, 2012 | 9:38:00 AM

Rihanna Bikini Barbados5 Hot Shots: Rihanna Is.... The Carnival  Queen

ULEVI uliopindukia, umemfanya mwanamuziki Rihanna, alazwe katika hospitali moja huko New York mara tu baada ya kumaliza shoo ya Met Gala.

Rihanna ambaye sasa ndugu na marafiki wameanza kumshauri atafute matibabu kwa ajili ya kudhibiti ulevi huo, inaelezwa alizidiwa baada ya kunywa pombe kali na kuvuta bangi.

Lakini madaktari wanasema Rihanna alizidiwa kutokana na uchovu na kutumia ulevi ambao hawakuuainisha.

Marafiki wanasema wamemshauri mwenzao apunguze ulevi kwa kuwa unaweza kumfanya ashindwe kufanya kazi yake kwa ufasaha siku za usoni.

Lakini Rihanna amekataa akisema kuwa hawezi kuachwa kunywa na kuvuta kwani ndivyo vitu vinavyomfanya atafute pesa.

"Natafuta pesa ili nijinunulie kila ninachokihitaji, siwezi kuacha kuvuta wala kunywa," anasema Rihanna.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts