Get the latest updates from us for free

mas template
Home » » SIMBA YATOLEWA MASHINDANONI NA AL AHLY SHANDY KWA MATUTA SUDAN

SIMBA YATOLEWA MASHINDANONI NA AL AHLY SHANDY KWA MATUTA SUDAN

Written By mpekuaji on Monday, May 14, 2012 | 9:40:00 AM

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa na huzuni baada ya timu yao kutolewa kwa mikwaju ya penati na Al Ahly Shandy katika mchezo wa marudiano huko Sudan.
 
 Katika mchezo wa kwanza uliofanyika wiki mbili zilizopita jijini Dar es salaam Simba ilishinda magoli 3-0 na kujiweka katika nafasi nzuri ili kusonga mbele katika michuano hiyo ya Kombe la Shirikisho inayoandaliwa na Shirikisho la vyama vya mpira wa miguu Afrka (CAF) kabla ya kulinda ushindi wake mnono ilioupata jijini Dar es salaam kwa  kukubali kipigo hicho kilichowasukumiza nje ya mashindano hayo.  
 
Al Ahly ilipata penati zote tano baada ya kushinda bao 3-0, na Simba walikosa penati mbili.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts